Baada ya kutoka gerezani, Masheikh wa uamsho wasimulia mateso na maisha ya gerezani kwa miaka saba.
READ MORENA PENDO MANGALA,DODOMA. MAKAMU wa Rais, Dkt Philip Mpango ameshiriki ibada Maalum ya kuliombea Taifa Jijini Dodoma huku akisema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itahakikisha inaongoza nchi kwa kuzingatia maadili,uadilifu, misingi ya sheria na utawala bora kwa lengo la kujenga uchumi imara wenye ushindani kwa maslahi ya umma. Dkt
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Mwenyekiti kanisa la Waadventista Wasabato jimbo la kusini Mwa Tanzania Mch. Mark Walwa Malekana ametoa wito kwa vijana kuwa na mpango mkakati wa wa kufanya kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi na kuachana na dhana ya utegemezi kutoka kwa wazazi. Mchungaji Malekana amebainisha hayo leo Juni,12,2021 katika mwendelezo wa mkutano wa shangwe
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani kwa viongozi wa dini kwa kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Nane katika kuhamasisha amani na utulivu hapa nchini. Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo na viongozi mbali mbali wa dini wakiwemo viongozi wa Dini
READ MOREThe Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN) ni huduma kubwa ya uamsho iliyopo Lagos, Nageria iliyoanzishwa na B Joshua 1987. Kanisa lilianza na waumini wachache sana na kuendelea kukua hadi kufikia Zaidi ya waumini 50 000 na kuanzisha Kituo cha televeseni Emmanuel TV, ambapo Ibada za wiki zinarushwa mubashara kwenye Emmanue Tv hiyo na kuonekana
READ MORE