Polisi Dodoma imewakamata Wafanyabiashara wa kukopesha hela.0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Theopista Mallya ametoa wito kwa wananchi wote kuendelea kushikirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili kuweza kudhibiti vitendo hivyo na kuwachukulia hatua stahiki kwa kuwafikisha katika vyombo vya Sheria. Kamanda Mallya ametoa wito huo leo Mei 8,2024
READ MORE