“Wakuu wa Mikoa na Wilaya, msiwe na wasiwasi”. Asema Rais Magufuli.

“Wakuu wa Mikoa na Wilaya, msiwe na wasiwasi”. Asema Rais Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amesema Wakuu wa mikoa na wilaya msiwe na wasiwasi na inawezekana pasitokee mabadiliko yoyote labda kwa atakayestaafu au atakayefanya mambo ya hovyo, kama nilikuteua uwezo si bado ni ule ule najua wananisikia wachape kazi wasipochapa kazi shauri yao” Rais Magufuli Rais Magufuli ameyasema hayo leo Novemba 9, 2020.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amesema Wakuu wa mikoa na wilaya msiwe na wasiwasi na inawezekana pasitokee mabadiliko yoyote labda kwa atakayestaafu au atakayefanya mambo ya hovyo, kama nilikuteua uwezo si bado ni ule ule najua wananisikia wachape kazi wasipochapa kazi shauri yao” Rais Magufuli

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Novemba 9, 2020. kwenye hotuba yake baada ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilungi Ikulu Chamwino, jijini Dodoma na kuwataka watendaji ndani ya serikali wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuchapa kazi,kuacha wasiwasi wa kuondolewa kwenye nafasi zao.

“RC unakuwa na wasiwasi gani labda kama ‘performance’ yako ilikuwa haifanyi kazi vizuri, nashangaa napata vimeseji kwamba Rais nimejitahidi katika kipindi changu, kana kwamba kipindi chake nilimwambia kinaisha baada ya mimi kuapishwa” Rais Magufuli.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »