Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar utafanyika tarehe 08 Juni, 2021. Taarifa kwa umma iliyotolewa na kusainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Bw. Kailima, R. K jijini Dodoma leo tarehe 02 Mei, 2024 imesema kwamba fomu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze kufanya tathmini na kubainisha maeneo ambayo yatatumika kufanya mazoezi kila Jumamosi. “Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa waanze kufanya tathmini ya maeneo waliyonayo na kutenga maeneo ya kufanyia mazoezi. Siyo lazima wafunge barabara kama ilivyo kwa Dar e Salaam, wanaweza kuchagua uwanja mmoja walionao