Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua msikiti wa Jamiu Assaliheen wa Ikwiriri wilayani Rufiji, Oktoba 1, 2021. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Badar bin Sood , Mwenyekiti wa Juumiya hiyo, Sheikh Seif Ally Seif na kulia ni
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi itakayobainisha maeneo yaliotengwa kwa ajili ya makaazi pamoja na yale ya ibada. Dk. Mwinyi ametoa wito huo leo alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kikristo katika
READ MORENa Emesto Eliudy, Dar Es Salaam. Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Mashariki Ushirika wa Tabata-Liwiti, limekusanya kiasi Cha zaidi ya Tsh. Milioni 72. 2 kwa lengo la kujenga Madhabahu na Miundombinu mbalimbali ya Kanisa Hilo ikiwemo ukarabati wa nyumba ya Mchungaji. Akizungumza jijini Dar ES Salaam, Mchungaji wa Kanisa Hilo, Mch. Emmanuel Mahemb alisema
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amewataka wananchi Mkoani humo kutunza na kusimamia vizuri miradi yote inayotekelezwa na Taasisi ya The Islamic Foundation ili kujenga ustawi imara wa jamii ya watanzania. Shigela alitoa wito huo jana alipotembelea miradi mbalimbali inayotoa huduma za kijamii katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na kuridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na
READ MORE