• MAMA MARYAM MWINYI AMETOA MKONO WA EID KWA WAZEE NA WATOTO

    MAMA MARYAM MWINYI AMETOA MKONO WA EID KWA WAZEE NA WATOTO0

    MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane itaendelea kuwaenzi na kuwatunza wazee wa nyumba za Sebleni na Welezo pamoja na watoto wanaolelewa katika nyumba za SOS na Mazizini. Mama Mariam Mwinyi aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti wakati alipowatembelea na kuwapa mkono wa Idd

    READ MORE
  • SOMO LA LEO: MITHALI 3:5-10.

    SOMO LA LEO: MITHALI 3:5-10.0

    Mithali 3:5-10. 5.Mtumaini Bwana kwa moyowako wote,Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 6.Katika njia zako zote mkiri yeye,Naye atayanyoosha mapito yako. 7.Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu. 8.Itakuwa afya mwilini pako,Na mafuta mifupani mwako. 9.Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote. 10.Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi,

    READ MORE
  • RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI USALAMA SIKUKUU YA EID, ASEMA VYOMBO VYA USALAMA VIMEJIPANGA IPASAVYO.

    RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI USALAMA SIKUKUU YA EID, ASEMA VYOMBO VYA USALAMA VIMEJIPANGA IPASAVYO.0

    Ikiwa Leo ni Sikukuu ya Eid Mubarak, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amesema Vyombo vya usalama vimejipanga kuhakikisha Wananchi wanasherekea kwa amani na utulivu. RC Kunenge ametoa wito kwa Wazazi kuhakikisha watoto wanaokwenda maeneo ya fukwe na sehemu za michezo ya watoto wanakwenda wakiwa na waangalizi huku akiwataka wanaotumia vyombo

    READ MORE
Translate »