SOMO LA LEO: MITHALI 3:5-10.

SOMO LA LEO: MITHALI 3:5-10.

Mithali 3:5-10. 5.Mtumaini Bwana kwa moyowako wote,Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 6.Katika njia zako zote mkiri yeye,Naye atayanyoosha mapito yako. 7.Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu. 8.Itakuwa afya mwilini pako,Na mafuta mifupani mwako. 9.Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote. 10.Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi,

Mithali 3:5-10.

5.Mtumaini Bwana kwa moyowako wote,Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6.Katika njia zako zote mkiri yeye,Naye atayanyoosha mapito yako.

7.Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.

8.Itakuwa afya mwilini pako,Na mafuta mifupani mwako.

9.Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.

10.Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika kwa divai mpya.

Jorim rb.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »