Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam. Akizungumza katika Swala hiyo Waziri Mkuu amewasihi waumini wa Dini ya kiislam kuhudhuria katika Baraza la Eid litalofanyika katika viwanja vya Kareemjee jijini Dar es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.

Akizungumza katika Swala hiyo Waziri Mkuu amewasihi waumini wa Dini ya kiislam kuhudhuria katika Baraza la Eid litalofanyika katika viwanja vya Kareemjee jijini Dar es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi.

“Niwasihi waislam wenzangu wote, tuhudhurie kwenye Baraza la Eid, mnatambua Rais wetu anakuja kwenye Baraza la Eid kwa mara kwanza ni vyema tukajitokeza kwa wingi kuja kupata neno kwa kiongozi wetu wa nchi”

Swala hiyo iliongozwa na Kadhi Mkuu, Sheikh Ali Muhiddini Mkoyogole.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »