RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI USALAMA SIKUKUU YA EID, ASEMA VYOMBO VYA USALAMA VIMEJIPANGA IPASAVYO.

RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI USALAMA SIKUKUU YA EID, ASEMA VYOMBO VYA USALAMA VIMEJIPANGA IPASAVYO.

Ikiwa Leo ni Sikukuu ya Eid Mubarak, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amesema Vyombo vya usalama vimejipanga kuhakikisha Wananchi wanasherekea kwa amani na utulivu. RC Kunenge ametoa wito kwa Wazazi kuhakikisha watoto wanaokwenda maeneo ya fukwe na sehemu za michezo ya watoto wanakwenda wakiwa na waangalizi huku akiwataka wanaotumia vyombo

Ikiwa Leo ni Sikukuu ya Eid Mubarak, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amesema Vyombo vya usalama vimejipanga kuhakikisha Wananchi wanasherekea kwa amani na utulivu.

RC Kunenge ametoa wito kwa Wazazi kuhakikisha watoto wanaokwenda maeneo ya fukwe na sehemu za michezo ya watoto wanakwenda wakiwa na waangalizi huku akiwataka wanaotumia vyombo vya Moto kuwa makini Barabara kuepusha ajali.

Aidha RC Kunenge amesema Hali ya Usalama Jijini humo ni shwari hivyo Wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »