WAZIRI MKUU AMESHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA 20 YA UMWAGILIAJI.0
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini mikataba 20 ya ukarabati na ujenzi wa miradi ya umwagiliaji baina ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya Kilimo na Wakandarasi jijini Dodoma. Mikataba hiyo ni ya ujenzi na ukarabati wa Skimu 14 pamoja na miradi sita (6) ya usanifu wa kina na upembuzi yakinifu
READ MORE