WAZIRI NDALICHAKO AZINDUA KAMPENI YA UTOAJI MADAWATI 1000 KILA MWAKA

WAZIRI NDALICHAKO AZINDUA KAMPENI YA UTOAJI MADAWATI 1000 KILA MWAKA

Na Scolastica Msewa, Dar es Salaam Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia nchini Profesa Joyce Ndalichako amezindua kampeni ya utoaji madawati 1000 kila mwaka kwa shule za msingi nchini kutoka Bank ya stanbic ikiwa ni mkakati wa serikali kukabiliana na upungufu wa madawati nchini. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar na kuhusisha wadau mbalimbali wa sekta

Na Scolastica Msewa, Dar es Salaam

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia nchini Profesa Joyce Ndalichako amezindua kampeni ya utoaji madawati 1000 kila mwaka kwa shule za msingi nchini kutoka Bank ya stanbic ikiwa ni mkakati wa serikali kukabiliana na upungufu wa madawati nchini.

Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar na kuhusisha wadau mbalimbali wa sekta ya elimu ambapo Profesa Ndalichako amesema kumekuwa na upungufu mkubwa wa madawati kutokana na ongezeko la uandikishaji wa wanafunzi kwasababu ya mfumo wa elimu bure.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »