Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 20.11.2020:

Manchester City wameazimia kusaini mkataba na mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 33, baada ya meneja Pep Guardiola kukubali mkataba mpya. (Mirror) Manchester United watapambana na Paris St-Germain na Real Madrid katika kumsaini kiungo wa kati Mfaransa mwenye umri wa miaka 18 kutoka klabu ya Rennes Eduardo Camavinga. (Marca, via Mail) Klabu kadhaa za

MSHAMBULIAJI WA BARCELONA LIONEL MESSI.

Manchester City wameazimia kusaini mkataba na mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 33, baada ya meneja Pep Guardiola kukubali mkataba mpya. (Mirror)

Manchester United watapambana na Paris St-Germain na Real Madrid katika kumsaini kiungo wa kati Mfaransa mwenye umri wa miaka 18 kutoka klabu ya Rennes Eduardo Camavinga. (Marca, via Mail)

Klabu kadhaa za Ligi ya Primia zinataka kumsaini beki wa uhispania Sergio Ramos, iwapo kijana huyo mwenye umri wa miaka 34 hataongeza mkataba wake Real Madrid . (90min).

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »