Tanzania nafasi ya 10 lingi bora Afrika.

Tanzania nafasi ya 10 lingi bora Afrika.

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza orodha ya Ligi Bora duniani kwa mwaka 2021, ambapo Ligi Kuu ya Brazil (Serie A) imeshika nafasi ya kwanza. Ligi Kuu Tanzania imepanda kwa nafasi tisa (9) kutoka nafasi ya 71 (2020) hadi nafasi ya 62 (2021) duniani huku kwa Afrika ikishika

May be an image of text that says 'DOWMETITATETES IFFHS www.iffhs.com STRONGEST மர்சாவ HISTORY NATIONAL LEAGUE TOP 10 INAFRICA2021 IN AFRICA AFRICA Egypt Algeria Morocco 1 2 3 WORLD 14 29 30 31 37 38 44 52 54 62 South Africa Angola Tunisia Nigeria Zambia Congo DR Tanzania 10 www.ligikuu.co.tz f tplboard TFF YouTube LIGIKUUTV'

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza orodha ya Ligi Bora duniani kwa mwaka 2021, ambapo Ligi Kuu ya Brazil (Serie A) imeshika nafasi ya kwanza.

Ligi Kuu Tanzania imepanda kwa nafasi tisa (9) kutoka nafasi ya 71 (2020) hadi nafasi ya 62 (2021) duniani huku kwa Afrika ikishika nafasi ya 10 na kusalia kuwa Ligi pekee kwenye 10 Bora ya Afrika kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »