Makamu wa Rais Dkt. Mpango amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi, Mohamed Seif Al Suwaidi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi, Mohamed Seif Al Suwaidi walipokutana leo tarehe 30 Machi 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.

May be an image of 1 person
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi, Mohamed Seif Al Suwaidi akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango walipokutana leo tarehe 30 Machi 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi, Mohamed Seif Al Suwaidi walipokutana leo tarehe 30 Machi 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »