YANGA WAJIWEKA SAWA MBIO ZA UBINGWA

YANGA WAJIWEKA SAWA MBIO ZA UBINGWA

FULL TIME Dodoma Jiji Fc 0-2 Yanga Sc⚽ Dickson Ambundo 12′⚽ Mohamed Yusuph (OG) 35′ Dakika 90 za mchezo wa #nbcprimierleague kati Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na alama tatu katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. Yanga inaenedelea kuongoza ligi na alama 60 wakiendeleza rekodi ya kutodungwa msimu huu.

FULL TIME

Dodoma Jiji Fc 0-2 Yanga Sc
⚽ Dickson Ambundo 12′
⚽ Mohamed Yusuph (OG) 35′

Dakika 90 za mchezo wa #nbcprimierleague kati Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na alama tatu katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Yanga inaenedelea kuongoza ligi na alama 60 wakiendeleza rekodi ya kutodungwa msimu huu.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »