MO DEWJI AITAKA BODI YA SIMBA KUCHUKUA HATUA

MO DEWJI AITAKA BODI YA SIMBA KUCHUKUA HATUA

Rais wa heshima wa Simba Mohamed Dewji kupitia Twitter kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Yanga: 🎙️“Huu umekuwa msimu mbaya zaidi kwa Simba katika kipindi cha miaka 5 iliyopita.Bodi inahitaji kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya kusonga mbele. Tunahitaji kuifanyia marekebisho timu.

Rais wa heshima wa Simba Mohamed Dewji kupitia Twitter kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Yanga:

🎙️“Huu umekuwa msimu mbaya zaidi kwa Simba katika kipindi cha miaka 5 iliyopita.Bodi inahitaji kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya kusonga mbele.

Tunahitaji kuifanyia marekebisho timu.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »