TAWA YAWASIHI WANANCHI KUWA NA DESTURI YA KUFANYA UTALII WA NDANI

TAWA YAWASIHI WANANCHI KUWA NA DESTURI YA KUFANYA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi wetu-Dar es Salaam Maafisa Wakike wa TAWA wakiendelea na Zoezi la kutoa elimu Kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAWA pamoja na elimu kuhusu Wanyamapori Kwa wananchi wanaojitokeza katika banda la TAWA kwenye Maonesho ya 46 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mwl. Nyerere. Maafisa wa wakike wa TAWA wanekuwa

Na Mwandishi wetu-Dar es Salaam

Maafisa Wakike wa TAWA wakiendelea na Zoezi la kutoa elimu Kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAWA pamoja na elimu kuhusu Wanyamapori Kwa wananchi wanaojitokeza katika banda la TAWA kwenye Maonesho ya 46 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mwl. Nyerere.


Maafisa wa wakike wa TAWA wanekuwa mstari wa mbele kuelimisha jamii na Wananchi wanaopita katika banda lao huku wakiwataka Wananchi kuhakisha wanakuwa wakifanya utalii wa ndani katika maeno mbalimbali hapa nchini kwa kwenda kuwaona wanyama mbalimbali na sio kusubiri wakati wa maonyesho tu.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »