Rais Samia amepokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Rais Samia amepokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 17 Aprili, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 17 Aprili, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Rais huyo Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 17 Aprili, 202
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 17 Aprili, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »