RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA.

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa Jeshi la nchi kavu wa India Jenerali Manoj Pande na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar leo tarehe 04 Oktoba 2023. Katika mazungumzo yao wamegusia uhusiano uliopo kati ya India na Tanzania ikiwemo mafunzo ya kijeshi kwa askari na maafisa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa Jeshi la nchi kavu wa India Jenerali Manoj Pande na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar leo tarehe 04 Oktoba 2023.

Katika mazungumzo yao wamegusia uhusiano uliopo kati ya India na Tanzania ikiwemo mafunzo ya kijeshi kwa askari na maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, msaada wa zana za kijeshi, elimu ya uhandisi, teknolojia.

Jenerali Manoj Pande yuko nchini kwa mwaliko wa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa ziara ya wiki moja

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »