Makamu wa Rais Dkt. Mpango amekabidhiwa tuzo na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha tuzo aliyokabidhiwa na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wakati wa Kilele cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma leo Oktoba 05, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »