Rais Samia amezuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi nchini India.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »