Rais Samia ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru nchini India.

Rais Samia ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru nchini India.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. Mhe. Rais Dkt. Samia ni Mwanamke wa Kwanza kutunukiwa Shahada hiyo ya Heshima na Chuo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.

Mhe. Rais Dkt. Samia ni Mwanamke wa Kwanza kutunukiwa Shahada hiyo ya Heshima na Chuo hicho nchini India.

Ni viongozi wawili tu ambao wametunukiwa Shahada hiyo ya Heshima akiwemo Rais wa Urusi, Mhe. Vladmir Putin pamoja na Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan, Hayati Shinzo Abe

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »