Rais Samia amehutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha ziara yake.

Rais Samia amehutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha ziara yake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akihutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha ziara yake ya kitaifa nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akihutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha ziara yake ya kitaifa nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo, Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Hayati Kenneth Kaunda katika eneo la Embassy Park jijini Lusaka tarehe 24 Oktoba, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »