Kamati ya Utendaji Klabu ya Young Africans SC chini ya Rais Eng.Hersi Ally Said leo tarehe 28.01.2024 wanakaa kikao cha kwanza cha kikatiba kwa mwaka 2024 katika ukumbi wa mikutano Best Western Hoteli, mjini Dodoma.