WAZIRI MKUU AMEFUNGA MKUTANO WA SADCOPAC.

WAZIRI MKUU AMEFUNGA MKUTANO WA SADCOPAC.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar ambako atafunga  Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Aprili 18, 2024 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar ambako atafunga  Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Aprili 18, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Zanzibar, Aprili 18, 2024.
Baadhi ya washiriki  wa  Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofunga mkutano huo kwenye hotel ya Golden Tulip Zanzibar, Aprili 18, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Zanzibar, Aprili 18, 2024.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »