Waziri Mkuu Majaliwa Amezindua Boti ya Doria katika Bahari na Maziwa Makuu.

Waziri Mkuu Majaliwa Amezindua Boti ya Doria katika Bahari na Maziwa Makuu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Boti ya Doria ya kukabiliana na Vitendo vya kihalifu katika Bahari na Maziwa Makuu Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Boti ya Doria wakati wa Hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Boti ya Doria ya kukabiliana na Vitendo vya kihalifu katika Bahari na Maziwa Makuu
Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Boti ya Doria wakati wa Hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Boti hiyo la kukabiliana na Vitendo vya kihalifu katika Bahari na Maziwa Makuu iliyofanyika kwenye Bandarti ya Dar es salaam
Boti ya Doria iliyozinduliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Aprili 21, 2024. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Boti ya Doria ya kukabiliana na Vitendo vya kihalifu katika Bahari na Maziwa Makuu iliyofanyika kwenye Bandari ya Dar es salaam
Boti ya Doria iliyozinduliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Aprili 21, 2024. 
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »