Dk. Hussein Mwinyi asaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad.

Dk. Hussein Mwinyi asaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad.

STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE  Zanzibar                                                               23.02.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Tukio hilo limefanyika leo huko katika ukumbi wa Sheikh Idrissa

STATE HOUSE ZANZIBAR

OFFICE OF THE PRESS SECRETARY

PRESS RELEASE

 Zanzibar                                                               23.02.2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Tukio hilo limefanyika leo huko katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Jijini Zanzibar ambapo Rais Dk. Mwinyi alisaini kitabu hicho mnamo majira ya saa tatu za asubuhi.

Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alifariki dunia mnano Februari 17, 2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar-es-Salaam na kuzikwa huko kijijini kwao Nyali Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar

Postal Address: 2422 Tel.:0777427449. Fax: 024 2231822 

 E-mail: rajabmkasaba@yahoo.co.uk

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »