Naibu Waziri Mkuu Dkt.Biteko amefungua Mkutano Mkuu wa 13 wa Jukwaa la Wahariri Tanzania.0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2024 amefungua Mkutano Mkuu wa 13 wa Mwaka wa Kitaaluma wa Jukwaa la Wahariri Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma na kuwataka wanahabari wajisimamie na kuilinda taaluma ya habari.
READ MORE