Mwenyekiti wa UVCCM ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana.

Mwenyekiti wa UVCCM  ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani Samaha Said ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana wa ukusanyaji wa taka majumbani ili waweze kuendeleza biashara yao na waweze kurejesha deni la mkopo milioni 7.5 walizokopa halmashauri hiyo. Amesema hayo akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani Samaha Said ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana wa ukusanyaji wa taka majumbani ili waweze kuendeleza biashara yao na waweze kurejesha deni la mkopo milioni 7.5 walizokopa halmashauri hiyo.


Amesema hayo akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Pwani wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya miradi huo ambao umewezeshwa kwa fedha za halmashauri kwa lengo la kujiajiri waondokane na umaskini.

Na Scolastica Msewa, Kisarawe.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »