MSAKO WA UHAKIKI UMEME MAJUMBANI NA VIWANDANI KUANZA JULAI

MSAKO WA UHAKIKI UMEME MAJUMBANI NA VIWANDANI KUANZA JULAI

Na Scolastica Msewa, Pwani Wakala wa Vipimo nchini, mwezi ujao unatarajia kuanza uhakiki wa mita za umeme za majumbani na viwandani ili kuhakikisha hakuna kuwa na haki sawa kati ya shirika la Umeme nchini-Tanesco na mtumiaji wa umeme. Meneja wa Wakala wa Vipimo mkoa wa Pwani, Alban Kihula, ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Jfivetv.com

Na Scolastica Msewa, Pwani

Wakala wa Vipimo nchini, mwezi ujao unatarajia kuanza uhakiki wa mita za umeme za majumbani na viwandani ili kuhakikisha hakuna kuwa na haki sawa kati ya shirika la Umeme nchini-Tanesco na mtumiaji wa umeme.

Meneja wa Wakala wa Vipimo mkoa wa Pwani, Alban Kihula, ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Jfivetv.com akiwa kwenye mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa NIT waliofika kwenye kituo cha uhakiki wa Vipimo Misugusugu Kibaha mkoani Pwani kujifunza masuala ya vipimo.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »