YANGA YAKITA KILELENI

YANGA YAKITA KILELENI

Klabu ya Yanga inaendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu bara baada ya kufanikiwa kupata usbindi wa goli 2-1 dhidi ya maafande wa Tamzania Prisons. Prisons walikuwa wakanza kupata goli kupitia kwa Samson Mbagula dakika ya 12, dakika ya 23 Feisal Salim alirudisha goli dakika ya 23 huku Khalid Aucho akifunga goli la ushindi goli la

Klabu ya Yanga inaendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu bara baada ya kufanikiwa kupata usbindi wa goli 2-1 dhidi ya maafande wa Tamzania Prisons.

Prisons walikuwa wakanza kupata goli kupitia kwa Samson Mbagula dakika ya 12, dakika ya 23 Feisal Salim alirudisha goli dakika ya 23 huku Khalid Aucho akifunga goli la ushindi goli la 43.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »