MHE. SORAGA AMESEMA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA DIASPORA KATIKA UWEKEZAJI.

MHE.  SORAGA AMESEMA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA DIASPORA KATIKA UWEKEZAJI.

WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS KAZI UCHUMI NA UWEKEZAJI MHE. MUDRIK RAMADHAN SORAGA AMESEMA   SERIKALI   YA MAPINDUZI ZANZIBAR IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA DIASPORA KATIKA UWEKEZAJI ILI KUFIKIA MALENGO YALIYOKUSUDIA AKIZUNGUMZA NA  WATANZANIA WANAOISHI NJE YA TANZANIA (DIASPORA)  HUKO AFISINI KWAKWE MWANAKWERKWE AMESEMA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEENDELEA KUWEKA SERA NA SHERIA RAFIKI ZA

WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS KAZI UCHUMI NA UWEKEZAJI MHE. MUDRIK RAMADHAN SORAGA

WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS KAZI UCHUMI NA UWEKEZAJI MHE. MUDRIK RAMADHAN SORAGA AMESEMA   SERIKALI   YA MAPINDUZI ZANZIBAR IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA DIASPORA KATIKA UWEKEZAJI ILI KUFIKIA MALENGO YALIYOKUSUDIA

AKIZUNGUMZA NA  WATANZANIA WANAOISHI NJE YA TANZANIA (DIASPORA)  HUKO AFISINI KWAKWE MWANAKWERKWE AMESEMA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEENDELEA KUWEKA SERA NA SHERIA RAFIKI ZA UWEKEZAJI ILI KUONA NAMNA GANI KILA MWENKEZAJI ANWEZA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO NCHI.

AMESEMA MAENEO MENGI YA UWEKEZAJI YANAHITAJI KUEKEZWA NA  MUELEKEO WA SERIKALI WA AWAMU YA NANE NI  NI UCHUMI WA BLUU, AMBAPO SERIKALI INAHITAJI MASHIRIKIANO YA KUTOSHA KWA WAWEKEZAJI ILI KUHAKISHA ZANZIBAR INAFAIDIKA NA UWEKEZAJI  KUPITIA RASILIMALI ZAKE.

AIDHA  MHE.SORAGA AMEFAHAMISHA KUWA  KATIKA KUIMARISHA MASUALA YA UWEKEZAJI IMEFANIKIWA KUCHUKUA HATUA ZA KUONDOA URASIMU  KATIKA KUEKA UFANISI WA UTOAJI WA MAAMUZI HASA KATIKA UPATIKANAJI WA VIPALI  AMBAPO SUALA HILO LILIKUA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI KATIKA UPATIKANAJI WAKE.

NAE MKURUGENZI WA TANZANIA DIASPORA HUB (TDH) NASSOR BASALAMA AMESEMA KUNA UMUHIMU MKUBWA KWA  DIASPORA KUEKEZA NCHINI KWANI WANA UWEZO MKUBWA WA KUWAFIKIA  WAWEKEZAJI URAHISI NA KUTOA USHAWISHIWISHI KWA WAWEKEZAJI KUJA KUEKEZA.

KWA UPANDE WAKE EMIL MUTA AUGUSTINE MENJEJA ELIMU TDH AMEISHAURI SERIKALI  KUWEKWA UTARATIBU MAALUM WA KUTEMBELEA SEHEMU ZA VIVUTIO VYA UTALII KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI JAMBO AMBALO LITASAIDIA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »