SIMBA AANGUKIA PUA KAGERA, KIIZA ANG’ARA

SIMBA AANGUKIA PUA KAGERA, KIIZA ANG’ARA

Mabingwa watetezi wa Simba kwa mara ya pili wameendelea kugawa pointi katika mechi ya za Ligi Kuu ya NBC baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji Kagera Sugar mchezo uliopigwa uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Shujaa wa Kagera Sugar ni Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Simba Hamisi Kiiza mnamo dakika ya 71 aliwanyanyua mashabiki

Mabingwa watetezi wa Simba kwa mara ya pili wameendelea kugawa pointi katika mechi ya za Ligi Kuu ya NBC baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji Kagera Sugar mchezo uliopigwa uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Shujaa wa Kagera Sugar ni Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Simba Hamisi Kiiza mnamo dakika ya 71 aliwanyanyua mashabiki wa Kagera baada ya kufunga bao na la ushindi.

Licha ya kufunga bao dakika ya 90 Hamizi Kiiza alionyeshwa kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu baada ya kuupiga mpira wakati mwamuzi kapuliza kipyenga.

Kwa matokeo hayo Simba wamebaki na Pointi 25 huku wakiwa wamecheza mechi 13 na kuzidi kuachwa kwa tofauti ya pointi 10 dhidi ya Vinara Yanga wenye Pointi 35 wakiwa wamecheza mechi 13.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »