Rais Samia amezungumza na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Ikulu ya Elysée, Mjini Paris.

Rais Samia amezungumza na Rais wa Ufaransa  Emmanuel Macron Ikulu ya Elysée, Mjini Paris.

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron tarehe 14 Februari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo baina ya pande mbili na Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron ambaye aliongoza Ujumbe wa nchi hiyo katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Februari, 2022.
This image has an empty alt attribute; its file name is 9-3-1024x832.jpg
This image has an empty alt attribute; its file name is 17-copy-1-1007x1024.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Wageni alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya  UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Februari, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa nchini Ufaransa (MEDEF)  Jijini Paris tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa nchini Ufaransa (MEDEF)  Jijini Paris tarehe 14 Februari, 2022.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »