Majina Form Six 6 Waliochaguliwa kujiunga JKT 2022 Selected Students to Join JKT

Majina Form Six 6 Waliochaguliwa kujiunga JKT 2022 Selected Students to Join JKT

WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZOYAJKTMUJIBUWASHERIA MWAKA 2022 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linawaita Vijana waliohitimuelimuyasekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, Kutoka ShulezotezaTanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa MujibuwaSheria.Sanjari na wito huo, JKT limewapangia makambi watakayokwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambinikuanzia tarehe 03 hadi 17 June 2022. Vijana walioitwa wamepangwa katika kambi za

WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZOYAJKTMUJIBUWASHERIA MWAKA 2022


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linawaita Vijana waliohitimuelimuyasekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, Kutoka ShulezotezaTanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa MujibuwaSheria.Sanjari na wito huo, JKT limewapangia makambi watakayokwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini
kuanzia tarehe 03 hadi 17 June 2022. Vijana walioitwa wamepangwa katika kambi za JKTRwamkoma-Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKTMpwapwa, naMakutupora JKT Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKTMlale-Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba -Tanga, JKTMakuyuni -Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa, na JKT Mtabila- Kigoma,JKT Itaka – Songwe, JKT Luwa na JKT Milundikwa – Rukwa, JKTNachingwea – Lindi na JKT Kibiti- Pwani na Oljoro JKT- Arusha. Wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho(Physical
disabilities) waripoti katika kambi ya Ruvu JKT iliyopoMlandizi
Mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumiawatuwajamii hiyo.

JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo.

1. Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpirakiunoni
(lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefuunaoishiamagotini, isiyo
na zipu.

2. T-shirt ya rangi ya kijani (Green Vest)

  1. Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
  2. Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari.
  3. Soksi ndefu za rangi nyeusi.
  4. Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoayenyebaridi.
  5. Track suit ya rangi ya kijani au blue.
  6. Nyaraka zote zinazohitajika katika Udahili waKujiungana Elimu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti vyaKuhitimu kidato cha Nne nk
  7. Nauli ya kwenda makambini na kurudi nyumbani.

Orodha kamili ya majina ya vijana walioitwa, Makambi yaJKTwaliyopangiwa na maeneo yaliyopo pamoja navifaawanavyotakiwa kwenda navyo, BONYEZA LINK HAPO CHINI

http://www.jkt.go.tz/publications/selected-members-to-join-ns-2022

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »