SABAYA, WENZAKE WASHINDA TENA KESI (video+)

SABAYA, WENZAKE WASHINDA TENA KESI (video+)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imewaachia huru washtakiwa wote saba ambao ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, baada ya mahakama hiyo kusema kuwa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa Jamhuri kugubikwa na utata na hivyo Mahakama kushindwa kuthibitisha makosa hayo. Hii ni kesi ya pili ambayo Lengai

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imewaachia huru washtakiwa wote saba ambao ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, baada ya mahakama hiyo kusema kuwa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa Jamhuri kugubikwa na utata na hivyo Mahakama kushindwa kuthibitisha makosa hayo.

Hii ni kesi ya pili ambayo Lengai Ole Sabaya anashinda dhidi ya Jamhuri baada ya awali kushinda rufaa ya kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021 ambayo ilitolewa Mei 06, 2022 ambapo kwenye rufaa hiyo Sabaya alikuwa pamoja na wenzake wawili; Sylvester Nyegu na Daniel Mbura.

Hata hivyo Sabaya ataendelea kubaki rumande kutokana na kukabiliwa na kesi nyingine mkoani Kimanjaro.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »