Mchezaji wa Kitanzania, Baraka Seif mwenye umri wa Miaka (8) aliyefanya majaribio KRC Genk ya Ubelgiji na Ajax ya Uholanzi amefika bungeni leo kujionea shughuli mbalimbali za Bunge akiwa pamoja na kocha wake Martin Hummel pamoja na Baba yake Seif Mpanda na Mama yake mzazi.

Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *