Morrison arejea Yanga SC, atambulishwa Rasmi

Morrison arejea Yanga SC, atambulishwa Rasmi

KLABU ya Young Africans SC imetangaza rasmi kumrejesha winga wake Mghana, Bernard Morrison mwenye umri wa miaka 29 kutoka kwa watani zao Simba SC. Hiyo ni baada ya sintofahamu ya miezi kadhaa baada ya kuachana na Simba SC na baadae kurejea nchini Tanzania na ujumbe maalum uliosomeka; “Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na

Bernard Morrison arejea Yanga SC

KLABU ya Young Africans SC imetangaza rasmi kumrejesha winga wake Mghana, Bernard Morrison mwenye umri wa miaka 29 kutoka kwa watani zao Simba SC.

Hiyo ni baada ya sintofahamu ya miezi kadhaa baada ya kuachana na Simba SC na baadae kurejea nchini Tanzania na ujumbe maalum uliosomeka;

Benard Morrison arejea Yanga SC

“Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za Simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana”

“Hii ni kutokana na nyinyi mashabiki kuniaga kwa sababu nitakatishwa tamaa ikiwa nitaendelea kusubiri kupata moja kutoka kwa klabu yangu. Tafadhali andika jina lako nyuma na namba 3. Anyone interested can bring to me at sea breeze mbezi beach and call me 0745460326. Nimefika Dar❤️ I WILL ALWAYS LOVE YOU ALL THOUGH.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »