Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga watacheza mchezo wao wa awali kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini. Mshindi wa mchezo huo atacheza na mshindi kati ya St. George dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Simba SC itacheza mchezo wake wa awali wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga watacheza mchezo wao wa awali kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini.
Mshindi wa mchezo huo atacheza na mshindi kati ya St. George dhidi ya Al Hilal ya Sudan.
Simba SC itacheza mchezo wake wa awali wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Big Bullets ya Malawi.
Mshindi kati ya timu hizo atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Red Arrows ya Zambia na CD 1 De Agosto ya Angola.
@simbasctanzania @yangasc
@hajismanara
@ahmedally_
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *