SHAKA,KIKWETE WARIDHISHWA NA MADINI YA KISARAWE

SHAKA,KIKWETE WARIDHISHWA NA MADINI YA KISARAWE

KAOLIN ya Kwanza AFRIKA IPO Pwani-KIKWETE Na Wazir Wazir-Kibaha Pwani KATIKA kuendelea na Wiki ya Maonesho ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani Leo 09.10.2022 Viongozi Mbalimbali wa Kitaifa wameendelea kutoa Ushauri na uelekezi wa namna Pwani inaweza kukuza na kuendesha Uchumi nchini, Akizungumza Wakati wa kukagua Banda la kisarawe Katibu wa Halmashauri Kuu


KAOLIN ya Kwanza AFRIKA IPO Pwani-
KIKWETE




Na Wazir Wazir-Kibaha Pwani


KATIKA kuendelea na Wiki ya Maonesho ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani Leo 09.10.2022 Viongozi Mbalimbali wa Kitaifa wameendelea kutoa Ushauri na uelekezi wa namna Pwani inaweza kukuza na kuendesha Uchumi nchini,

Akizungumza Wakati wa kukagua Banda la kisarawe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alifurahishwa na Mazingira ya Uwekezaji ya pwani Kwa awamu Hii ya sita ya RAIS Samia

*”Kwa sasa Tanzania inaenda vizuri katika Uwekezaji na Uwezeshaji wa wadau na wafanya biasha wanaotaka kuwekeza nchini Hasa Pwani Kwa Miaka hii ya Sasa alimazia Shaka*”

Nae Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya makazi Mhe Ridhiwani Kikwete alifurahishwa na Maendeleo ya Upimaji na Uwezeshaji wa Ardhi kisarawe Kwa kuwapo Kwa mradi wa Viwanja Maeneo ya Visegese,

“Viwanja vya Eneo la Viwanda kama Viwanja vya Viwanda, makazi,na Uwekezaji wa mashamba ya kisasa ni strategies Kwa ajili ya uchumi na dryPort  alimazia Mhe Kikwete”

“Miradi yote ya Maendeleo ambayo ipo kisarawe itaivusha na kuwa wilaya Pekee ya kiuchumi na viwanda Hasa kutokana na Ukubwa wa Ardhi na Eneo Salama kisarawe alimalizia Kikwete

Uwepo wa Maonesho ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani umepelekea Kwa wadau wa Maendeleo kufahamu na kukua zaidi Undani wa Harakati na Fursa za  uchumi Pwani.


Kauli mbiu ya Mwaka Huu ni Pwani ni Sehemu Sahihi Kwa Uwekezaji, Pamoja Tujenge Viwanda na Ajira

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »