RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT

RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT

Na Mwandishi Wetu Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo January 16 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Umoja  wa Wanawake Tanzania (UWT) ,Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa  na Mwenyekiti wa UWT Taifa

Na Mwandishi Wetu Zanzibar


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo January 16 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Umoja  wa Wanawake Tanzania (UWT) ,Ikulu Zanzibar.


Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa  na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda ,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa aliyeambatana na  Makamu Mwenyekiti UWT Zanzibar Ndugu Zainab Shomari ,viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Jumuiya hiyo kwa nia ya kujitambulisha baada ya kuchaguliwa .


Pia wamempongeza Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar na Kutekeleza Ilani ya CCM ya Utekelezaji 2020-2025.
Mwisho

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »