WAZIRI JAFO AMPOKEA MWANAMFALME

WAZIRI JAFO AMPOKEA MWANAMFALME

Na Mwandishi Wetu Dodoma  Mwanamfalme na Mwenyekiti wa Kampuni ya Blue Carbon Sheikh Ahmed Dalmook Juma a Maktoum akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kupokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwa

Na Mwandishi Wetu Dodoma 


Mwanamfalme na Mwenyekiti wa Kampuni ya Blue Carbon Sheikh Ahmed Dalmook Juma a Maktoum akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kupokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwa ajili ya kusaini hati ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) kuhusu biashara ya kaboni, leo February 06, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »