SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WALIMU WANAOENDA KINYUME NA MAADILI

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WALIMU WANAOENDA KINYUME NA MAADILI

Na Barnabas kisengi Dodoma Serikali imesema haitavumilia kuwachukulia hatua baadhi ya walimu ambao watakwenda kinyume na maadili ya kazi zao huku ikiwataka walimu kufanya kazi kwa bidii kwakufuata viapo vyao vya kazi. Rai hiyo imetolewa  Machi 16Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI),Angelah Kairuki wakati akifungua Mkuatano

Na Barnabas kisengi Dodoma


Serikali imesema haitavumilia kuwachukulia hatua baadhi ya walimu ambao watakwenda kinyume na maadili ya kazi zao huku ikiwataka walimu kufanya kazi kwa bidii kwakufuata viapo vyao vya kazi.


Rai hiyo imetolewa  Machi 16Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI),Angelah Kairuki wakati akifungua Mkuatano wa Baraza kuu la Tume ya utumishi wa Walimu (TSC)ulioambatana na uzinduzi wa mfumo wa TEHAMA ujulikanao kama TSCAMIS.

Waziri Kairuki amesema kuwa ni Vyema  Walimu kuhakikisha wanafuta maadili ya kazi zao kwakuzingatia misingi kanuni na taratibu za kazi ili kuondokana na uvunjifu wa maadili ya Utumishi wa Umma kwani Mwalimu ndio kioo Cha jamii.


Sanjari nahilo  Kairuki,amewataka Viongiozi wa Tume hiyo kuhakikisha wanatatua kero za Walimu kwakuwahudumia mahali walipo na wasisubiri Walimu wawafuate Maofisini.

 ” Serikali ya awamu ya sita imekuwa ikiwajali Walimu kwakushughulikia changamoto zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa fedha kwaajili ya Miradi mbalimbali ya Elimu ukiwemo  mradi wa kuwajengea uwezo walimu BOOST tayari  jumla ya Shilingi bilioni1.3ziimetolewa,”amesisitiza
Waziri kairuki amewataka pia kuendelea kusimamia fedha za miradi ili iendane nantahamani halisi ya fedha.


Hata hivyo amesema Serikali imewwza kutatua Kero mbalimbali za Walimu kwa kuwapqndish avyeo pamoja nankulipa madai mbalimbali  ikiwemo malimbukizo ya mishahara.


Awali akitoa taarifa Katibu wa Tume ya utumishi wa Walimu,Pauline Mkwama amempongeza Rais kwakupunguza kero na malalamiko ya Walimu hasa kwakuwapandish avyeo,kuwalipa madai ya malimbukizo ya mishahara kwamba hiyo ni hatua kubwa kwao.


Tunampongeza sana  Rais Wetu  kwakutujali  sisi Walimu, hivi Sasa tumepunguziwa  tozo ya mshahara kutoka asilimia tisa hadi kufikia asimia8 ikiwa ni pamoja na kuongeza umri wa wategekezi kwenye bima ya Afya kutoka.miaka18 hadi 21 ni fahari sana kwetu. 

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »