Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar leo na kuwasili Dar es Salaam kuhudhuria uzinduzi wa Jukwaa la Mtandao wa chakula Afrika AGRF 2023, utakaofanyika Ikulu Dar es Salaam amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Amos Makalla na viongozi wengine wa Mkoa huo.

Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *