Bi. Rosemary Huria Octavia Julius Kambarage Nyerere, mtoto wa 7 na wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, amefariki usiku huu.Bi Rosemary alizaliwa mwaka 1961 na amefariki leo tarehe 1.1.2021.Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!!!
Bi. Rosemary Huria Octavia Julius Kambarage Nyerere, mtoto wa 7 na wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, amefariki usiku huu.
Bi Rosemary alizaliwa mwaka 1961 na amefariki leo tarehe 1.1.2021.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!!!
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *