Mazishi ya Marehemu Bwana Simai Msaraka Pinja, Chwaka Kusini Unguja.

Mazishi ya Marehemu Bwana Simai Msaraka Pinja, Chwaka Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla wamejumuika na Viongozi mbali mbali,Wanafamilia, wananchi na wanakijiji wa Chwaka katika Mazishi ya Marehemu Bwana Simai Msaraka Pinja aliezikwa Kijijini kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja. Marehemu Simai Msaraka

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla wamejumuika na Viongozi mbali mbali,Wanafamilia, wananchi na wanakijiji wa Chwaka katika Mazishi ya Marehemu Bwana Simai Msaraka Pinja aliezikwa Kijijini kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja.


Marehemu Simai Msaraka Pinja katika uhai wake amewahi kulitumikia Jeshi la wananchi la Tanzania kwa nyadhifa mbali mbali. pia amewahi kuwa Sheha wa Shehia ya Chwaka.

Marehemu ameacha Vizuka watatu (03) na watoto Kumi na Tatu (13).

Innaa Lillaahi wainnaa Ilaihi Raajiun.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)13 Mei, 2023

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »