Ushindi huo umepatikana kwa njia ya penati 3-1 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 90 za mchezo wa kuikaribisha Ligi Kuu Bara Msimu wa 2023/2024 uliopigwa kwenye Uwanja wa #Mkwakwani, #TangaWaliofunga penati upande wa #Simba ni Muzamiru Yassin, Willy Onana na Jean Baleke, waliokosa ni Saidi Ntibazonkiza na Moses Phiri Aliyefunga upande wa #Yanga
Ushindi huo umepatikana kwa njia ya penati 3-1 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 90 za mchezo wa kuikaribisha Ligi Kuu Bara Msimu wa 2023/2024 uliopigwa kwenye Uwanja wa #Mkwakwani, #TangaWaliofunga penati upande wa #Simba ni Muzamiru Yassin, Willy Onana na Jean Baleke, waliokosa ni Saidi Ntibazonkiza na Moses Phiri Aliyefunga upande wa #Yanga ni Azizi Ki, wakati waliokosa ni Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Kuoassi Attoula ambao penati zao zote ziliishia mikononi mwa kipa wa Simba, Ally Salim