#CAFCL: YANGA YASONGA MBELE KWA KISHINDO, YASHINDA 5-1

#CAFCL: YANGA YASONGA MBELE KWA KISHINDO, YASHINDA 5-1

Yanga imepata ushindi huo dhidi ya ASAS ya Djibouti katika mchezo wa Hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam Kwa matokeo haya Yanga imesonga mbele kwa magoli 7-1 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ilishinda 2-0 Raundi ya Pili, Yanga inatarajiwa

Yanga imepata ushindi huo dhidi ya ASAS ya Djibouti katika mchezo wa Hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam

Kwa matokeo haya Yanga imesonga mbele kwa magoli 7-1 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ilishinda 2-0

Raundi ya Pili, Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya AlMerrikh ya Sudan 

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »