Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare ameshiriki Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali.

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare ameshiriki Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi leo Oktoba 3, 2023 ameshiriki Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambapo Mgeni Rasmi katika jukwaa hilo akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi leo Oktoba 3, 2023 ameshiriki Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambapo Mgeni Rasmi katika jukwaa hilo akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango.

Jukwaa hilo limeandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Baraza la Mashirika Yasiyo na Kiserikali Nchini (NaCoNGO).

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »