RAIS MWINYI AMEKULA CHAKULA NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI YA TAIFA.

RAIS MWINYI AMEKULA CHAKULA NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI YA TAIFA.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI KDK HUSSEIN ALI MWINY AMESEMA DHAMIRA YA SERIKALI KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA ELIMU NI KUENDELEA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWA WANAFUNZI , NA KWAMBA HANA SHAKA ANATAMBUA MAGEUZI WANAYOYAFANYA YAMECHANGIA KWA KIASI KIKUBWA ONGEZEKO LA UFAULU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA. RAIS

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI KDK HUSSEIN ALI MWINY AMESEMA DHAMIRA YA SERIKALI KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA ELIMU NI KUENDELEA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWA WANAFUNZI , NA KWAMBA HANA SHAKA ANATAMBUA MAGEUZI WANAYOYAFANYA YAMECHANGIA KWA KIASI KIKUBWA ONGEZEKO LA UFAULU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA.

RAIS DK MWINYI AMEYABAISHA HAYO WAKATI WA HAFLA FUPI YA CHAKULA CHA PAMOJA NA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA NA KIDATO NA NNE WALIOFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI YAO YA TAIFA YA MWAKA 2023 KATIKA VIWANJA VYA IKULU NDOGO PEMBA PAGALI WILAYA YA CHAKECHAKE RAIS MWINYI AMESEMA MAGEUZI WANAYOYAFANYA SASA YATAZIDI KULET MATOKEO MAZURI HADI SIKU ZA BAADAE.

RAIS MWINYI AMESAHSHUKU WALIMU WA SHULE ZOTE KWA KAZI WALIOFANYA KWA KUHAKIKISHA WANATOA ELIMU BORA ILIYOZALSHA MATOKEO MAZURI NA KUWAPONGEZA WANAFUNZI PAMOJA NA WAZAZI KW KUZINGATI MASOMO YAO YALIWASAIDIA WANANFUNZI HAO KUPATA DARAJA LA KWANZA KATIKA MASOMO YAO.

“KAZI YA KUPATA DARAJA LA KWANZA SI KAZI NDOGO UHAKIKISHE MTU UNAJITUMA KWELI KWELI ILI KUPATA MATOKEO MAZURI NA NINA FURAHI VIJAN WENGI WAMEPATA DARAJA LA KWANZA HONGERENI SANA’’, ALISEMA RAIS DK MWINYI.

AIDHA RAIS MWINYI AMELEZEA FARAJA YAKE YA MAGEUZI MAKUBWA KATIKA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA KUJENGA MAJENGO YA SHULE YA GHOROFA ILI KUONDOSHA MKONDO MMOJA KWA SIKUMBALI NA HAYO RAIS MWINYI AMESEMA WATAKIKISHA WANAIMARISHA MILAA YA ELIMU VYU VYA UALIMI ILIMRADI MABADILIKO MAKUBWA YANAFANYIKARAIS MWINYI PIA AMEAHIDI KUWAPA LAPTOP WANAFUNZI WOTE WALIOPATA DARAJA LA KWANZA ILI KUWASAIDIA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO KATIKA NGAZI NYENGINE.

KWA UPANDE WAKE KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI KHAMIS ABDALLA AMESEMA KUTOKANA NA MOTISHA YA SERIKALI KATIKA SEKYA YA ELIMU IMESAIDIA KIWANGO CHA UFAULU KWA MWAKA 2023 KUONGEZEKA KWA ASILIMIA 0.14 UKILINGANISHA NA MWAKA 2022.

TAYARI RAIS MWINYI AMEHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA 2 YA KISIWA CHA PEMBA IKIWA NI MIONGONI MA SHAMRA SHAMRA YA KUTIMIA MIAKA 3 YA UONGOZI WAKE MADARAKANI AMBAPO ALIFANIKIWA KUFUNGUA MIRADI YA MAENDELI KATIKA NYANJA MBALIMBAL, 

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »